The United Republic of Tanzania

Maendeleo ya ujenzi wa kituo cha ubunifu cha TEHAMA

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi leo Agosti 7, 2024 ametembelea ofisi za Tume ya TEHAMA (ICTC) ambapo pamoja na kupitishwa kwenye majukumu yanayotekelezwa na Tume hiyo pia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha ubunifu cha TEHAMA kilichopo Upanga Jijini Dar es Salaam

Maendeleo ya ujenzi wa kituo cha ubunifu cha TEHAMA Maendeleo ya ujenzi wa kituo cha ubunifu cha TEHAMA