Waziri Nape Nnauye amkabidhi Tuzo Maalum ya pongezi Dk. Mwasaga
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (Mb) akimkabidhi tuzo na cheti cha pongezi kwa kufanikisha Tanzania kupata nafasi ya Mjumbe wa Baraza la Shirika la Mawasiliano Duniani(ITU council) kwenye mkutano wa ITU PP 22, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Tehama, Dk.Nkundwe Mwasaga, kwenye hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki baada ya kuhitimishwa
kikao kazi cha Wizara na Taasisi zake kilichofanyika jijini Arusha.